A
Hapa alikuwa na Blog hii pande za Mwananyamala
juzi kwenye Barbeshop moja ya kijana wa The rock City Amiri.
Ngoma ambazo alisha wahi kuzitengeneza ni 'Nilikuwepo','Club Shavu' na 'Zawadi ambazo
ni za msanii nguli wa Mwanza Dr KB.
Jamaa anamaujanja mengi tayari ameisha shirikiana na Studio za Amerika kama Reel Time Studio's katika
jimbo la (Kansas City - USA).
Awali alimaliza masomo yake ya kidatocha SIX pale Bogu Sekondari .
Comments