MSANII mpya Mery Rukosi ambaye kipaji chake kimeanzia kuonekana kwenye shindano la kusaka vipaji vya muziki
maarufu kwajina la Bongo Star Seach .
maarufu kwajina la Bongo Star Seach .
kwasasa yupo katika bendi mpya yaiitwayo 'Mjomba Band' inayomilikiwa na msanii mahiri wa mashahiri Mrisho Mpoto.
Alhamisi mchana wiki iliyopita alifanya vizuri akiwa na bendi yake hiyo kwenye ukumbi Ubungo Plaza wakati wa maadhimisho ya nane ya siku Mlipa Kodi Tanzania.
"Tayari bendi yetu hii , tunajipanga ilikuja na nyimbo zetu kwanihadi sasa bado hatuja rekodi nyimbo yeyote ,"alisema Rukosi .
Katika Maadhimisho hayo ya nne ya siku ya Mlipa Kodi kundi hilo lilijipanga vyema na kutoa burudani safi mbele ya wageni waalikwa ambapo Mgeni rasimi alikuwa ni Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo .
Kundi hilo la 'Mjomba Band' liliimba wimbo mpya wa uliotungwa kwa ajili ya siku hiyo na vibao vingine kama
wimbo wa 'Mjomba' ambao unajulikana kwa wapenzi wengi wa muziki nchini.
wimbo wa 'Mjomba' ambao unajulikana kwa wapenzi wengi wa muziki nchini.
Hadi sasa kundi hilo la 'Mjomba Band ' lipochini ya meneja Kelvin Ayoub ukulikiwa linaundwa na wasanii kama Ismail ,Nuruel Mbowe ambaye pia ni mwibaji wa bendi yaB Band , Merry ameahidi makubwa akiwa na bendi
hiyo.
Comments