FILAM mpya ya Power Of God muda wowote kuanzia sasa itatingakwenyesoko la filamu nchini.
Kwa mujibu wa muandaaji wa filamu hiyo Fike Wilyson amesema kuwa katikaujio huo , amemshirikisha bondia Charles (Spinks), Mhilu ambaye ni bingwawazamani wa Tanzania katika uzani wa Walter na pia alipata kuwa kocha wa bingwawa Dunia Magoma shabani ,bingwa wa Afrika mambeya Bakari, hii ni filamu yakwanza akicheza kama kocha wa ngumi.
Wengine Walioshiriki ni Francis Miyeyusho ,bingwa wa ngumi wa Afrika Mashariki ndani ya muvi hiyo ameshiriki kama mwanafunzi wa ngumi ndni ya Gym ,ni filamu yake ya kwanza kuwa muigizaji.
Fike aliwai kuwa Mr Tanzania mara 2, mwaka 2002 na 2004pia aliwai kushikilia mkanda wa ndondi za kuliwa.
Fike alishawai kupasua anga na kuishi katika majimbo maarufu ya ndondi duniani kamajimbo la Pennsylvania .
Philadelphia
ambalo ni jimbo linaloongoza kwa ubora wa wapiganaji wa kiwango cha kidunia cha ndondi likifuatiwa na jimbo la Detroit Michigan japokuwamapambano mengi ya ngumi ufanyika Ras Vegas Nevada.
Kwa sasa Fike anamiliki GYM iitwayo Red's Gym iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Comments