Jamaa huyo anaitwa Masiga Alex, aliwai kuimba wimbo huo akiwa kundi moja na Banana Ally Zolo kwa sasa ni mtu mwenye elimu bora ya Juu yani alimaliza Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam , baada ya pilika pilika zote .
Jamaa ni muajiliwa wa Kampuni ya
simu ya Mkonono (Tigo) anachapa mwendo na maisha kiulaini tu sasa .
Pichani amefanya maongezi na Blog hii leo saa nane mchana kesho tuta yaweka hewani maelezo yake.
Picha hiyo anaonekana akiwajibika leo katika ofisi hizo za (Togo).
Comments