Mjumbe wa Kamati Kuu
ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo,
ameendelea na ziara yake ya Kichana katika mikoa mitano ambapo leo ziara
hiyo imemfikisha katika Wilaya za Igunga na Nzega mkoani Tabora, ambako
amefazungumza katika vikao vya ndani na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za
CCM za wilaya hizo, Mabalozi na watendani wa CCM na Serikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments