Timu ya taifa ya vijana ya Mali iliyo chini ya umri wa miaka 17 imetwaa Ubingwa wa michuano ya AFCON hapo jana baada ya kuifunga timu ya Ghana kwa jumla ya magoli 2- 1 nchini Gabon
Mali, imeibuka na ushindi huo mwembamba katika mchezo ulio kuwa na
upinzani mkubwa kwa pande zote mbili kuhitaji kuchomoza na ushindi , na
hatimae timu hiyo ilipata goli la pekee kupitia kwa mchezaji wake
Momadou Samake , lililo dumu hadika dakika 90 za mchezo.
Baada ya kuingia katika fainali hizo kwa mara ya kwanza baada ya
miaka 12, kocha wa Ghana Paa Kwesi Fabin alipanga kikosi chake cha
kwanza ambacho kiliifunga Niger 6-5 katika hatua ya penati kwenye hatua
ya nusu fainali.
Ghana walianza kwa kasi kipindi cha kwanza baada ya Eric Ayiah kupata nafasi ya wazi lakini hakuweza
kufunga
kufunga
Kocha wa Ghana Ghana Paa Kwesi Fabin amesema pamoja na kupoteza
mchezo huo, wachezaji wake walifanya jitihada za kutosha ila bahati
haikuwa upande wake.
Comments