Timu ya soka ya Azam FC imeachana na mshambuliaji wake
tegemeo wa muda mrefu John Raphael Bocco baada ya mkataba wake
kumalizika, lakini ukweli ni kuwa tumezoea kuona wachezaji waliodumu kwa
muda mrefu wakiagwa kwa heshima kitu ambacho hakijafanywa na Azam FC.
Mchambuzi wa michezo Shaffih Dauda ameguswa kwa namna ambavyo John
Bocco ameondoka Azam FC na ametoa ushauri baada ya uongozi wa klabu hiyo
kuthibitisha hawatakuwa na Bocco kuanzia msimu ujao na kuanzia sasa JB
nimchezaji uru.
Unaweza kuangalia video hapa chini kwa story zaidi kuhusu kilakitu
ambacho amekiongea Shaffih Dauda kuhusu issue ya John Bocco na Azam FC.
Comments