WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha, Uchumi, Mipango na Maendeleo Zanzibar Omar Yussuf Mzee akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, kuhusiana na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2011 - 2012.
WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali wakimsikiliza Waziri Nchi Ofisi ya Rais Fedha, Uchumi Mipango na Maendeleo Zanzibar wakivuatilia maelezo ya Waziri kuhusu muelekeo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2011 - 2012 ,Wizara ya Fedha Vuga.
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Abdi Khamis Faki, Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar Omar Hassan (King) wakimsikilizaWaziri akitowa Muelekeo wa Bajeti.Picha na Othman Maulid-Zanzibar
Comments