MWAKILISHI wa Magomeni Salimin Awadh akitaka maelezo ya matumizi ya komoja ya Vifungu vya bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wakati wa kupitisha vifungu vya Wizara hiyo jana.
MWAKILISHI wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akitaka ufafanuzi wa kimoja cha kifungu cha Wazari hiyo wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais.
Hija Hassan Hija( KIWANI) akitaka ufafanuzi wa kifungu cha bajeti wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Mamamu wa Kwanza wa Rais .Picha na Othman Maulid-Zanzibar
Comments