Skip to main content

Balozi wa Tanzania Uingereza Peter Kallaghe Audhuria ''TROPPING THE COLOUR EVENT'

Balozi Peter kallaghe akiwa na familia yake nje ofisi na makazi ya waziri mkuu



Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameroon akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Peter Kallaghe pamoja na familia yake wakati walipoudhuria Parade Maalum inayofanytika kila mwaka kuadhimisha siku ya kuzaliwa Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth II



Parade ya Nguvu



walikia wa Uingereza Queen Elizabeth IIakiwa katika gari maalum linalovutwa na farasi kuingia viwanjani hapo


Comments