CHEKI hapa ni kwenye jengo la Millenium Towe lipo maeneo ya Kijitonyama Dar es Salaam , kama unavyoona Pichani kwa mbali kuna vijana watatu wakicheki bidhaa flani flani , ukudisko la kufamtu likilindima , kwa mbele pembeni anapo piga disko mkali Bon Luv na dj Mackay. Wakati huu ilikuwa jumamosi usiku wa manane , jengo hilo uporomoshwa diskola kufamtu kila jumamosi ndani humo humo sehemu hii twayo Mzalendo Pup. Upigwa nyimbo za Old Schoo, Hip Hop ,R&B ,Mayenu na sasa kunakitu kilicho chomoza kinaitwa mziki wa Mduara usiku ua unabadilika Mduara kwa Mabinti kwa sasa panaumaarufu huo wa kutwanga pia muziki wa aina hiyo. Pichani mbele ni Dj Venture katika usiku huo , yeye ua ni muongeaji wa disko hilo katika vyo mbo vya habari. Jengo hilo linauduma kem kem pia kuna duka la mchoraji maarufu Masudi kipanya , Bank zote yaani ATM , moja wapo ikiwa ni ATM ya CRDB Bank.