Obey Chirwa tayati yupo nchini Uturuki |
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga Obey Chirwa, tayari yuko nchini Uturuki ambapo ameungana na kikosi cha Yanga
kilichoweka kambi nchini humo kwa ajili ya mchezo wao wa kombe la shirikisho dhidi ya klabu ya TP Mazembe.
kilichoweka kambi nchini humo kwa ajili ya mchezo wao wa kombe la shirikisho dhidi ya klabu ya TP Mazembe.
Mzambia Obey Chirwa akiwa na Mzimbabwe Thaban Kamusoko |
Chirwa ambaye ni raia wa Zambia amejiunga na Yanga akitokea FC Platinums ya Zimbabwe na ameanza mara moja mazoezi.Chirwa Atachukua
nafasi ya Tambwe katika mechi dhidi ya TP Mazembe kwa kuwa mshambuliaji
huyo raia wa Burundi ana kadi mbili za njano zitazomzuia kucheza mechi
hiyo.
Comments