Kuangalia Messi akifunga hat trick sio jambo la ajabu tena
machoni mwetu, lakini kwa namna alivyofunga hat trick yake ya mwisho
hivi karibuni ameweka alama nyingine kwenye maisha yake ya soka.
Akitokea
benchi katika dakika ya 61 huku Argentina ikiwa inaongoza kwa goli
moja, nahodha huyo wa Argentina akafunga hat trick yake nyingine.
Dakika 5 baada ya kuingia, akafunga golila kwanza, kabla ya kufunga la pili na la tatu dakika ya 14 baadae na kuipa ushindi mkubwa timu yake.
Hat trickambazo alifunga ndani ya dakika chache kuliko hat trick yake vs Panama zilikuwa hat trick dhidi ya Mallorca – alifunga ndani ya dakika 17 msimu wa 2011/12 na nyingine ilikuwa dhidi ya Rayo Vallecano msimu uliopita – alifunga ndani ya dakika 12.

Hat trick 10 za haraza zaidi za Messi
Lionel Messi mpaka sasa amefunga hat tricks 35, 10 kati ya hizo amefunga ndani ya dakika 30.

Comments