Wasahau tena Jacqueline Wolper na Harmonize aka ‘WoHa’ama
vyovyote ulivyokuwa ukiwaita pamoja. Ni kwasababu Wolper amembwaga rasmi
hitmaker huyo wa Bado tena kupitia Instagram. Hata hivyo post hiyo
haikuweza kukaa kwa muda mrefu – imefutwa, japo wapo waliowahi kuinasa
mapema.
Kwenye post hiyo iliyokuwa na picha ya Harmonize pamoja na emoji za
alama ya kopa iliyopasuka, Wolper ameandika: Nina akili timamu me syo
mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche
@harmonize_tz i hate love.”
Looks like Harmonize kauvunja moyo wa Wolper kiasi cha kuamua kuyachukia mapenzi kiasi hicho!
Comments