Skip to main content

Baada ya kusaini kwingine ..... Afunga ndoa

ABIDJAN, Ivory Coast

BEKI wa zamani wa Azam FC, Serge Pascal Wawa amefunga ndoa na mzazi mwenzake aliyezaa nae watoto watatu.

Wawa amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram picha zinazomuonyesha akiwa na mwanamke huyo katika nyuso za furaha huku akipokea salamu za pongezi toka kwa marafiki  kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Wawa amerejea kwenye timu yake ya zamani ya El-Merreikh ya Sudan baada ya kumaliza mkataba wake na matajiri wa Ligi Kuu ya Vodacom na hakutaka kuongeza mkataba kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kutokuwa na uhusiano mzuri na Kocha Mhispania, Zeben Hernandez.
MANCHESTER UNITED YAICHAKAZA WEST HAM 4-1 NA KUCHUNGULIA KOMBE LA EFL ...Ibrahimovic, Martial moto chini, Schweinsteiger atoa gundu A+ A- Print Email MANCHESTER UNITED imeibuka na ushindi mnono wa 4-1 dhidi ya West Ham katika mchezo wa robo fainali ya EFL Cup iliyochezwa Old Trafford. United itakutana na Hull City kwenye nusu fainali na iwapo itapenya basi itakuwa na kibarua kizito katika fainali itakayopigwa Wembley ambayo itawakutanisha na aidha Liverpool au Southampton. Zlatan Ibrahimovic aliifungia United bao la kwanza katika dakika ya pili kufuatia pande zuri la Mkhitaryan ambaye kwa jana usiku alikuwa nyota wa mchezo. Kinda wa zamani wa Manchester United Ashley Fletcher akaisawazishia West Ham kunako dakika ya 35 na kufanya timu hizo ziende mapumziko zikiwa nguvu sawa. Baada ya Manchester United kupoteza nafasi nyingi za wazi, Anthony Martial akaifungia bao la pili dakika ya 48, hiyo pia ikiwa ni kazi nzuri kutoka kwa Mkhitaryan. Martial akafunga tena dakika ya 62 kabla ya Ibrahimovic kuhitimisha ushindi dakika ya 90 huku kiungo mkongwe wa Ujerumani Bastian Schweinsteiger akicheza mchezo wake wa kwanza tangu mwezi Machi. Schweinsteiger aliingia dakika ya 86 kuchukua nafasi ya Martial. Anthony Martial scored two of Manchester United's four goals as they made it to the EFL Cup semi-finals Anthony Martial akifunga moja ya mabao yake Martial pictured putting the ball into the top left corner to score Manchester United's second goal after half time Martial akiifungia Manchester United bao la pili Zlatan Ibrahimovic and Martial were Manchester United's goalscorers on Wednesday night in the EFL Cup Zlatan Ibrahimovic na Martial wote walifunga mabao mawili kila mmoja

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2016/12/manchester-united-yaichakaza-west-ham-4.html
Copyright © saluti5

MAOFISA WA MANCHESTER UNITED WAELEKEA KUCHOSHWA NA TABIA ZA JOSE MOURINHO A+ A- Print Email MAOFISA wa Manchester United wameanza kuchoshwa na tabia za kocha wao Jose Mourinho. Mouroinho yuko hatarini kusimamishwa kukaa kwenye benchi la ufundi baada ya kutolewa uwanjani na mwamuzi Jon Moss dhidi ya West Ham. Alitolewa kufuatia kitendo cha kupiga chupa teke kupinga nyota wake Paul Pogba kuonyeshwa kadi ya njano kwenye mechi ya West Ham. Maofisa wa Manchester wanalalamika kichinichini kitendo cha kocha huyo kutuhumiwa makosa ya chama cha soka cha England (FA) kwa mara ya tatu katika kipindi cha mwezi mmoja.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2016/12/maofisa-wa-manchester-united-waelekea.html#more

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.