SAA 2:00 USIKU, 24 MEI, 2014.no
Tunapenda kutambulisha kwenu
shindano kuu la Redds Miss Dar City Center 2014, Mashindano haya kwa mwaka huu yatafanyika katika ukumbi wa dare
s salaam free market (century cinema) siku ya jumamosi tarehee 24/05/2014, kuanzia saa mbili usiku, vile
vile siku hii itapambwa na burudani ya nguvu kutoka kwa skylight band.
Tunaamini shindano la mwaka huu litakuwa zuri sana warembo
wamejiandaa vya kutosha, tunapenda kuwaalika wadau mbalimbali wa masuala ya
urembo waje kwa wingi dar es salaam free market siku ya jumamosi ili waweze kushuhudia
wenyewe nani siku hiyo Atakaye twahaa taji la redd’s miss dar city center 2014.
Tunapenda kuwashukuru wazamini wetu kwa ushirikiano wao waliotupa, tunapenda
kuwashukuru sana na tunapenda kuuendeleza ushirikiano huu kwa miaka mingine zaidi.
Mratibu wa onesho hilo Judith Charles alizungumza kuhusu shindano hilo leo
katika ukumbi wa Club Maisha Dar es Salaam.
Shindano la mwaka huu litakuwa zuri ambalo halijawahi kutokea
kipindi chote cha nyuma, karibuni sana.
Asanteni,
Judith
Charles
Mratibu.
Comments