KUNDI la muziki wa Bongofleva liitwalo Wondez Crew wameanza kujipanga upya ilikuja kivingine baada ya kuwa wamekaa kimpya kwa muda , tayari wamekamilisha ujio wao mpya wa albamu itakayoitwa 'Salam kwa wote' itakayokuwa na jumla ya nyimbo kumi.
Akizingumza na gazeti hili , mmoja wa wasanii wanao unda kundi hilo Frank Maneno amsema kuwa tayari wamekamilisha baadhi ya nyimbo kwa ajili ya ujiowao huo.
Baada ya kuwa kimya kwa muda mure wakiwa wanajipanga kufanya rekodi kwa ujio huo , awali walisha toa vibao vyao kama wimbo ulio pigwa sana katika vituo vya redio ulioitwa jina la Salam zao wakiwa wamemshirikisha Q Chilla iliyorekodiwa katika studio ya Jag Records , studio iliyokuwa ikimilikiwa na Gadna G Habash na mwana dada Lady Jay Dee.

Kundi hilo linaloundwa na wasanii wawili akiwepo mwingine aitwaye Evarist Ngufuli a.k.a Fakili.
Comments