Dj Q
Adili aka Hisabati
Bwana Misosi
DJ Q ni dj bomba sana katika ramani kwa hivi sasa , baadhi ya maonesho yake anayokuwa anayatangaza katika steheni anayo fanyia kazi ya redioni , kituo cha Magic FM , maonesho yake katikauandaaji ebana unadatisha kwani ua una full wasanii nguli shoo yako ya Zamani Hunters wakati wa Easter iliyopitai meenda shule.
Wasanii kama Joh Makin , Bwana misosi pamoja na mkalimwingine kutoka chapakazi Production Adili , ebana shoo ilidadishawengi wakazi wa huko Kigamboni. Mkubwa Q ukojuu na slogan yako ya mlipuko wa Bongo kati.
Pichani Joh Makini na msanii Adil.

Comments