Mtayari shaji huyo wa muziki amechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya kueleweka kwa vipaji vya muziki wa kizazi kipya nchini.
Alianza muziki miaka ya nyuma sana na tishio la kuja kuwa bab kubwa katika masualaa muziki anasema lilianzia miaka ya nyuma sana nipale alipo ongoza partyao alipokuwa anamaliza shule ya misingi muhumbili
Anasema alisimama upande masuala ya u dj siku hiyo nakusababisha mambo kwenda safi, hivyo muonekanowakuja kuwa dj ulianzia hapo.
Alianza muziki miaka ya nyuma sana na tishio la kuja kuwa bab kubwa katika masualaa muziki anasema lilianzia miaka ya nyuma sana nipale alipo ongoza partyao alipokuwa anamaliza shule ya misingi muhumbili
Anasema alisimama upande masuala ya u dj siku hiyo nakusababisha mambo kwenda safi, hivyo muonekanowakuja kuwa dj ulianzia hapo.
Katika ubora amabo ni nadra sana kuwepo , yeye ameweza kuwarisisha kipaji cha u dj wadogo zake wawili dj Venture pamoja na dj Mackey ambao wote kwa sasa ni matawi ya juu katika masuala ya u d jnchini hapa.
Bopniface Kilosa amabye amekuwa maarufu sana kwa jina la Bonny Luv,kabila lake ni Mkelewe kabla dogo lililopo huko kanda ya ziwa.
Tuliwai kuchonga nae mambo mengi tu wakati akimtengeneza msanii wa bongofleva Jenebi Mbarouk 'Jebi' aliyevuma sana na singo zake kama 'Swahiba'na maongezi yake alisema nikumtoa 'Jebi' kwa kipindi hicho.
Raha Hasha! kipindi hicho alikuwa akibiga disko la nguvu Latervenamaeneo ya Mikocheni Dar, na msanii huyo ameonekana kuwa ni msaniiwa mwisho kuwa lebo ya Mawingu Studio kwani baada ya msaniihuyo kupewa ramani ya muziki atujasikia msanii mwingine kuwepo Lebojapokuwa aliwika tena msanii huyo alipohamia Kiumeni kwa Meneja Fella.
Bonny anashahada muhimu za kuendesha udj sawa sawa, kwani alishatua Ungereza na kuchukua masomo yanayo husiana na utaalam huo anacho cheticha Technology & Studio Engnearing alicho kipata chini huko muda mrefu sana na mara kwa mara uruka na ndege kwenda kucheki masuala mengine yanavyoendelea katika muziki , washikaji wingi kwa sasa umwita Mjomba Bon.
Histiria ujirudia Bab yake alikuwa akijitwalia zawadi mara kwa mara huko Ukelewe kwa kuimba nyimbo za hasili.Anasema.
Na kwa sasa Bon anatoa burudani kila siku za jumamosi , ambapo disko hilo urindima kwa wale waliokuwa vijana wa dhamani ukumbushiana sana hisia zamiaka ya nyuma kutokana na miziki ya enzi hizo kupigwa.
Disko lipofrshi sana .
Comments