Mmiliki huyo wa chuo hicho kilichopo Dar Salaam , maeneo ya Kariakooamesema anashangaa kwa kusikia anaitwa hivyo.
Chuo hicho ambacho kime wai kutoa mchango kwa jamii licha ya utoaji wa elimu , kimeisha dhamini mambo mbli mbali kama michezo na masuala ya urembo.
Mbeki ambaye naitwa na wanafunzi wa chuo hicho kwa sasasa jina la Prezi Dar, ambapo kwa mijibu wa wanafunzi wamesema wamempa jina hilo kutokana na chuo hicho kuwaridhisha wanafunzi katika nyanja mbali mbali za mazomo yao.
Kwa miji wa Mbeki amesema kuwa tayari wanafunzi kadhaa wamebahatika kupata ajira kiurahisi kutokana mafunzi waliyoyapata chuoni hapo.
Mbeki amsema chuo hicho kinatoa masomo ya Business Menagement(biashara), Mass Communication(mawasiliano),Hotel &Tourism(utalii na uhotelia) , Compyuter Technology (Kompyuta) , Human Resours (jamii na uhusiano) , Nursury Teachers apomoja na Jornalism (uandishi wa habari).
Msimamizi huyo anasema chuo hicho kina mipango mingi ya maendeleo kwa jamii na kitazidi kujikita zaidi katika kusaidia jamii.Amesema.

Comments