Skip to main content

Mjue Mwimbaji wa nyimbo za Injili Miriam Mhembelo


Miriam Mhembelo akifanya kazi ya Client Service Manager katika Bank ya Standard Chareter jijini Dar es Salaam ni moja kati ya wanawake mfano wa kuigwa , katika shughuli za kusukuma guludumu la Taifa.


Kwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha anaanza kwa kusema kuwa amesoma kuanzia masomo ya awali mpaka kufikia masomo ya elimu ya juu Chuo kikuu Dar es Salaam , anasema kabla ya kufikia elimu hiyo ya juu .


Miriam amesoma katika shule za Lutengano sekondari na kusoma kidato cha tano na sita Kilakala na baada yahapo alisoma masomo ya Bismak Instute, Hotel Mnagement na Aptech Compter College.


Adi sasa anautaalam katika mambo ya Computer , Banking na masomo ya Hotel Management , anaelezakuwa katika familia yao wapo watoto watatu ambao ni David Mhembelo , pamoja na dada yake aitwaye Minza .

Mwimbaji huyo wa muziki wa Injili anasema alizaliwa jijini Dar es Salaam chimbuko lao yeye ni Msukuma kabila lililoko kanda ya ziwa jijini Mwanza.
Mwimbaji huyo anasema anapenda sana kusafiri nchi mbali mbali kucheza muziki wa Injili na kuhubili habari njema ya wokovu.


Miriam anazungumzia mazingira ya ofisini kwao hapo , licha ya kuwa yeye ni mwanamke , ansema ofisini wapo wanawake zaidi ya kumi .

Na muda wa kunigia kazini huwa ni kuanzia saa 8:15 asubuhi na kutoka saa 5:15 jioni kwa sikuza kazi , anasema ni changamoto sana kwa mwanamke kufanya kazi kwani hali hiyo inachangia kukuza uchumi na kuwa na maisha bora.

"Mimi hapa ofisini akuna suala la ubaguzi , hali inayotufanya sisi wanawake na kwa jumla wote tufanye kazi kwa bidii na tena tunapewa nafasi ya kwanza katika mambo mengi tu ," alisema Mhembelo akiwa ofisini . Wanawake wanaofanya kazi ama kujishughulisha na kazi ya kuingiza kipato wao wanakuwa na utofauti na mama anayeitwa mama wa nyumbani. Anasema .

Mwada dada huyo muimbaji ambaye ameishaanza kuonesha dalili nzuri za kufikia muziki wake katika nyanja za kimataifa , si mwimbaji tu bali pia upendelea pia michezo kama vile basket ball valleyBall na pia ni mwana marathon . Amewahi kushiriki mbio za marathon huko nairobi mwaka 2006 mbio za Groe.

Amesema albamu yake ya muziki huo imesheheni nyimbo tisa zote zikiwa zimetayarishwa kwenye studio za Backyards Recors chini ya mtayarishaji Samuel Mbwana Braton na Amarido jijini Dar es Salaam.

Kuhusu janga hatari la Ukimwi anasema ,"Watu wajiepushe nalo , ila akuweza kuimba nyimbo yoyote kuhusu hilo gonjwa ila ana sisitiza kuepuka kufanya dhinaa kwa kuwa ni ugonjwa unao poteza nguvukazi ya Taifa kwani vijana wengi wanapotea."

Miriam ametaja baathi ya nyimbo zake kuwa ni Onjeni muone , Dare to Belive , hakuna Mungu kama wewe pamoja na nyingine kama Jehova Jire pamoja na nyimbo nyingine amabozo ni Nafsi yangu , Wewe ni mungu na mwingine iitwayo Tumpesifa.


Amezisifia nyimbo kama Niumbie moyo safi na Nafsi yangu ambazo amesema nyimbo hizo zimebeba ujumbe kwa waabuduo halisi . "Ninapo imba nafsi yangu msifu Bwana ninasema nafsi yangu kuwa imsifu bwana na kulibariki jina lake takatifu. "


Amesema wimbo wa pili ninausifia kwa sababu nina mwambia mungu niumbie moyo safi ilinikuabudu katika roho na kweli kwa waabuduo halisi wataelewa kuwa bila ya kuwa na moyosafi huwezi kumwabudu Mungu katika roho na kweli.


Ni muhimu sana kuwa na moyo safi mbele za Mungu wakati wa kupeleka sifa kwake , ninyimbo ambazo zina mguso wa kiroho ukisikiliza hita baki kama ulivyo maana nyimbo zimebeba utukufu wa Mungu .Ni lazima utabarikiwa tu utakapo sikiliza alibainisha Miriam.


Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.