AY
S.O.G AY alikuwa wa kwanza kujitoa kwa mara ya kwanza kabisa ambapo kundi liliundwa na Snare , Buff-G na Ay, wote hawa walisoma Sekondari moja ya Ifunda wakati wako na kundi jipya lililo itwa CBM Crew singo kali ya Ay iliyoitwa 'Niraha tu ' Ay akajitoa kutokana na singo hiyo 'kushaini' .
Kwa mujibu wa Snare aliniambia kuwa singo hiyo ilisababisha Ay kujitoa , duu !! inaleta raha kwani wakati mwingine tena msanii huyo huyo wakiwa ndani ya East Cost Team alikuwa wa kwanza kujitoa baada ya GK kuanzisha kampuni na kundi hilo kubadilika na kuitwa East Coast Campany .
Ay akajitoa tena kwa mtazamo wa kuangalia maslahi zaidi , nakumbuka sanasiku aliponiita nyumbani kwake Kijito nyama jioni amabapo ilikuwa kijua chausoni kuzama yaani jioni ambapo niliwakuta wasanii Buff - G , Snare na yeye mwenyewe Ay , katika kuendelea na maongezi ya kimuziki gafla akaingiza hoja kuwa anaona soko la muziki nchinihapa alijatulia na hivyo kuanzia siku hiyo usiku wa saa 2:30 anaamua kazi zake za albam kutoziingiza katika sokoni ambapo baadhi ya wahusika wengi wanao shughulika na ufanywaji wa bidhaa hiyo ni Wahindi .
Hali katika usiku huo ulipingwa sana na wasnii ambao ni maswahiba wake wakubwa Snare na Buff -G ambapo lakini baada ya muda mfupi katika maongezi hayo walikubaliana na taarifa hiyo niliandika stori kwenye gazeti moja na ilipotoka tu , Ay akaniambia kuwaimetulia sana na baada ya siku tatu hivi makala kuhusukutopeleka sokoni albamu za msanii huyo , sitori ziliandikwa sana katika magazeti mengine .
Kwa sasa jamaa anataka kuwa wa kimataifa na albamu yake yasasa imeelezwa kuwa ataiuza kupitia njia ya mtandao.

Comments