Huyu jamaa alifanya juhudi za hatari sana miaka ya nyuma kidogo!! alikuwa akiandaa matamasha mbali mbali nchini na katika uandaaji wake alipokuwa akifanya maonesho kanda ya ziwa alijikuta kuwakutanisha wasanii hao ambao kwa sasa huwa ni marafiki wakubwa sana . Ni kati ya waandaaji wa chache wanao weza kusifiwa kwa kutumia mfano, "kipindi nilipokuwa ziarani kwenye maonesho niliyoandaa kanda ya Ziwa , tulikutana na Fareed Kubanda hapondiponilipowakutanisha wasanii hao na ikawa safari ya muziki kwa Fi -Q kuja kujikita Dar,"anasema. Mtayalishaji huyo ambaye alikuwa wakwanza kuwapeleka wasanii nyota Unique Siste Philipo Nyandindi na wengine kama Mbagafreshi pamoja na wasanii waliowika miaka ya nyuma katika jukwaala maigizo Bambo na marehemu Max pamoja na Dokii. Mara kwa mara tulifanya shoo za maana katika miji ya Musoma , Shinyanga' Buritiama Disco' iliyokuwa chini ya meneja Minza mtuanayependa sana kunyanyua sana muziki kwani hadi sasa mhindi huyo bado anafanya biashara...