|
|
Rais aliyekuwa aking’ang’ania madaraka nchini Ivory Coast, Laurent Gbagbo alikamatwa juzi na majeshi maalumu ya Ufaransa. Majeshi ya UN ya kulinda amani na yale yanayomtii mpinzani wake, Alassane Ouattara baada ya kujificha katika handaki nyumbani kwake wiki moja iliyopita. Mkuu uliofanyika nchini humo, Novemba 28, mwaka jana. Watawala wa Afrika wamepata somo kuwa wakitawala kwa giliba na dhuluma wananchi watasema hapana. Na mifumo ya kimataifa itaingilia kati na kuwatia mbaroni kama wahalifu.Watakamatwa hata kama watachimba mahandaki yaendayo kuzimu na kuzimu. |
Comments