Napenda kumshukuru Mungu Kwa kuweza fikisha siku ya leo, ambayo naadhimisha siku yangu ya kuzaliwa, hakika yeye ni mwema. Pia napenda kuwashukuru wazazi wangu hasa mama yangu mpendwa, mpenzi wangu, ndugu, jamaa na marafiki kwa ushirikiano wao ambao nimekuwa nikiupata hadi leo hii. Nawapenda sana na kuwajali sana. Mungu atubariki na kutulinda daima, Amen.
Haya mdau.
Haya mdau.
Comments