Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2011

“SMS for Life” Rolled-Out Nationwide in the United Republic of Tanzania

“SMS for Life” rolled-out nationwide in the United Republic of Tanzania Improving access to essential malaria treatments on World Malaria Day · A public-private initiative announces national roll-out of “SMS for Life” across the United Republic of Tanzania to improve access to essential malaria treatments · Roll-out follows successful pilot where 99% of health facilities avoided complete stock-outs of artemisinin-based combination therapy thanks to innovative mobile phone technology 1 · Malaria kills a child every 45 seconds 2 and limited access to treatment in remote areas remains a major hurdle in the fight against this deadly disease Geneva , April 18, 2011 In commemoration of World Malaria Day 2011 (25 April), organizations in an innovative public-private initiative announce the nationwide roll-out of a unique malaria treatment access initiative, "SMS for Life", across the United Republic of Tanzania. The roll-out follows a successful pil...

TAMKO KUHUSU KATIBA MPYA YA TANZANIA

TANZANIA GENDER NETWORKING PROGRAMME (TGNP) P.O. Box 8921, Dar es Salaam, TANZANIA; Gender Resource Centre, Mabibo Road, Adjacent to the National Institute of Transport (NIT) Tel. 255 22 244.3450/ 244.3205/ 244.3286; Mobile 255 7 0754 784050/ 0754 788706; Fax 255 22 244.3244; Email tgnp@tgnp.co.tz; Website www.tgnp.co.tz Aprili 18, 2011 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba uandikwe upya Mtandao wa Jinsia Tanzania tumeupokea uamuzi wa Bunge wa kusogeza mbele muda wa kuujadili muswada wa sheria ya mapitio ya Katiba wa 2011 kwa masikitiko makubwa.Uamuzi wa Bunge unaoitaka serikali kuufanyia marekebisho muswada huo na kuutafsiri kwa Kiswahili ni wamsingi ingawa una mapungufu. Tulitarajia kwamba Bunge lingeishauri waziwazi serikali kuuondoa muswada huo Bungeni na kuanzisha mchakato shirikishi wa kutunga muswada mpya. Kwa hiyo, tunaunga mkono msimamo wa wananchi wanaoitaka serikali kuandaa muswada mpya unaozingatia maoni ya makundi mbalimbali ya wananchi. T...

TAMKO KUHUSU KATIBA MPYA YA TANZANIA

TANZANIA GENDER NETWORKING PROGRAMME (TGNP) P.O. Box 8921, Dar es Salaam, TANZANIA; Gender Resource Centre, Mabibo Road, Adjacent to the National Institute of Transport (NIT) Tel. 255 22 244.3450/ 244.3205/ 244.3286; Mobile 255 7 0754 784050/ 0754 788706; Fax 255 22 244.3244; Email tgnp@tgnp.co.tz; Website www.tgnp.co.tz Aprili 18, 2011 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba uandikwe upya Mtandao wa Jinsia Tanzania tumeupokea uamuzi wa Bunge wa kusogeza mbele muda wa kuujadili muswada wa sheria ya mapitio ya Katiba wa 2011 kwa masikitiko makubwa.Uamuzi wa Bunge unaoitaka serikali kuufanyia marekebisho muswada huo na kuutafsiri kwa Kiswahili ni wamsingi ingawa una mapungufu. Tulitarajia kwamba Bunge lingeishauri waziwazi serikali kuuondoa muswada huo Bungeni na kuanzisha mchakato shirikishi wa kutunga muswada mpya. Kwa hiyo, tunaunga mkono msimamo wa wananchi wanaoitaka serikali kuandaa muswada mpya unaozingatia maoni ya makundi mbalimbali ya wananchi. T...

Ansante Concert Yafana Msasasani Club

Gwea akitoa sapoti katika shoo hiyo ya 20% usiku wa jana Q Chilla alitumbuiza na mashabiki walikubali ni muda wa mdua mrefu sana katika gemu , shoo yake ilitikisa Niko na mtangazaji wa Magic FM Dickson Ponera ama Pop Dizo katika pozzz Uku tukicheki shoo ya 20% , ilikuwa shoo bab Kubwa ndani ya usiku wa jana.

Sura Mpya Ya Gamba Jipya La CCM

SEKRETARIETI KUU, Katibu mkuu Wilson Mkama, Mweka Hazina CCM taifa Mwigulu Lameck Nchemba,Katibu Itikadi Mwenezi wa CCM taifa Nape Moses Mnauye,Katibu Organaizesheni NEC Bi Asha Abdullah Juma,Naibu Katibu mkuu CCM Zanzibar vuai Ali Vuai na January Makamba uhusiano Kimataifa WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU Anna Abdalah Peter Kisumo Mwigulu Nchemba Januari Makamba Aly Juma Shamhuna Wilson Mukama Emmanuel Nchimbi. WANAOINGIA KAMATI KUU Pindi Chana Abdulrahman Kinana Zakhia Hamdan Meghji Abdalah Kigoda Steven Wasira Costansia Buhiye William Lukuvi Dk. Hussein Ali Mwinyi Dk. Maua Daftari Samia Suluhu Shanmsi Vuai Nahodha Omary Yusuf Mzee Prof. Makame Mbarawa Mohamed Seif Khatibu Chanzo ni www.mjengwa .blogspot.com

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA SOKONE

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Watanzania wana mengi ya kujifunza kutoka aliyekuwa Waziri Mkuu wa tatu wa Tanzania, hayati Edward Moringe Sokoine kwa jinsi alivyokuwa kielelezo cha utumishi wa watu na kielelezo cha kupigania wanyonge.Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumanne, Aprili 12, 2011) wakati akitoa salamu za Serikali katika ibada ya kumbukumbu ya miaka 27 ya kifo cha hayati Edward Moringe Sokoine iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mt. Paulo wa Msalaba mjini Dodoma. “Marehemu Sokoine atakumbukwa kwa mengi ambayo kwa kweli tukiyaongelea hapa hatutayamaliza; ninachoweza kusema, leo tunamkumbuka mtu ambaye kwetu sisi Watanzania, ni kielelezo bora cha utumishi wa watu, kielelezo cha kujituma, kielelezo cha upendo, kielelelzo cha kupenda haki kielelezo cha kupigania wanyonge na kielelezo cha kumcha na kumtumikia Mungu,” alisema. Alisema katika utumishi wake, Mzee Sokoine alifanya bidii kutetea wanyonge na maslahi yao kwa kupambana na watu wanaohodh...

Watawala wa Afrika Wamepata Somo

Rais aliyekuwa aking’ang’ania madaraka nchini Ivory Coast, Laurent Gbagbo alikamatwa juzi na majeshi maalumu ya Ufaransa. Majeshi ya UN ya kulinda amani na yale yanayomtii mpinzani wake, Alassane Ouattara baada ya kujificha katika handaki nyumbani kwake wiki moja iliyopita. Mkuu uliofanyika nchini humo, Novemba 28, mwaka jana. Watawala wa Afrika wamepata somo kuwa wakitawala kwa giliba na dhuluma wananchi watasema hapana. Na mifumo ya kimataifa itaingilia kati na kuwatia mbaroni kama wahalifu.Watakamatwa hata kama watachimba mahandaki yaendayo kuzimu na kuzimu.

Mabasi manne ya Wakenya yatua Samunge

Send to a friend Tuesday, 12 April 2011 22:17 Mussa Juma, Loliondo WAGENI kutoka nchi jirani ya Kenya wakiwa ndani ya mabasi madogo manne, jana walitinga katika Kijijini Samunge kupata kikombe cha dawa kwa Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri(KKKT), Ambilikile Mwasapila. Wakenya walianza kuingia kwa wingi kijijini Samunge kuanzia alfajiri na kunywa kikombe dawa inayotolewa na Mwasapila. Sambamba na Wakenya hao, Watanzania wenye asili ya kiasia zaidi ya 30 pia walifika kijijini hapo na walipata kikombe Samunge baada ya kutua na ndege nne za kukodi jana asubuhi. Mkutano wa kijiji leo Samunge Mkutano huo wa kijiji cha Samunge unatarajiwa kufanyika leo wenye ajenda kuu ya mgogoro wa mapato ya ushuru wa magari na helkopta zinazofika huko wakati huu. Mwenyekiti wa Kijiji cha Samunge, Michael Lengume, alisema wananchi wataombwa na Halmashauri ya Kijiji kutoa idhini ya kuanza kukusanya mapato ya Sh2,000 kwa siku kwa kila ...

Ni Mzalendo Pub

Kuna mida mina kulifanyingika milazo ambapo madj hawa walisugua CD na kuleta kusababisha hali mpyaaa kuonekana katika usiku huo wa disco la Flava Nite.

Hate, Homophobia & Hip Hop

By dream hampton This Tuesday I published a column on bet.com recapping the by then confirmed rumors that Biggie's former DJ and mentor had been arrested for public lewdness. I wrote that I was more interested in a discussion about decriminalizing sex work than I was in one about Mister Cee’s sexuality or any same-sex sex habits he may have. As with so many stories that happen in the world today, the Mister Cee story broke for me on Twitter. As for many, Twitter for me is a place that invokes a buffet of feelings. A political news junkie, the thrill of breaking stories has me both checking my Twitter feed hourly and tweeting my observational predictions about unfolding revolutions or as I perhaps a bit glibly called them on Twitter when demonstrato...