Waanamuziki wa dansi nchini wakijiandaa kuushusha mwlili wa marehemu Mstafa John Ngosha alifariki juzi usiku saa tano nyumbani kwake Bugurunu na kuzikwa katika makaburi ya Magomeni Makuti .
wakiwa wamebeba jeneza lililowekwa mwili wa Marehemu Mstafa Ngosha.
Wasanii wa muziki wa Dansi nchini wakiwa katika picha ya pamoja na mbunge wa jimbo la Kinondoni Idd Azani Nyumbani kwamarehemu.

Comments