Mwenekiti wa Bodi ya wa Kurugenzi wa benki ya KBC Edmund Mdolwa kushoto akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10 kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai DR.Norman Adamson Sigalla kwaniaba ya kusaidia ujenzi wa shule ya Sekondali ya Lyasikika, hafla hiyo ilifanyika leo katika makao makuu ya benki hiyo iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa KBC Christina Manyenye na Head of Credit Ronald Kitti. wakishuhudia utoaji wa msaada huo.
Mweneyikiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya KCB Edmund Mndolwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai DK.Norman Adamson wakitwta jambo katika hafla ya kukabidhiana msaada wa shilingi Milioni 10 kwa ajili ya shule ya Sekondary ya Lyasikika iliyopo wilaya ya hai mkoa wa Mohi.
Mkuu wa Wilaya ya Hai Dr.Norman Adamson akishukuru kwa kupata msaada huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakirugenzi wa benki ya KCB Edmund Mndolwa akitoa talifa ya huduma zinazotolewa na benki hiyo.

Comments