AMANI NINI HASA TATIZO KWA TIMU YETU YA TAIFA?mbona
watanzania tunaisupport san...a, nikikumbuka
tulivyoisupport ktk kombe la Tusker nakumbuka
mtoto wa kike hadi sauti ilinikauka, Misri
nikasema huko hata nafasi ya tatu tutachukua
kama si ya pili, kumbe
ni ndoto za alinacha, nini tatizo?
Haya ni moja ya malalamiko toka kwa mwanadada mmoja kwenye Facebook.

Comments