Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2011

Mapacha watatu Watikisa Mzalendo

Bendi mpya ya Mapacha watatu usiku wa jumapili jana iliedelea kutikiswa katika ukumbi wa Mzalendo Pub . Kimwana Saada akiwa kwa pozi la picha na mwana muziki mahiri wa bendi ya FM Academia Patchu Mwamba , mwana muziki ambaye alitua ukumbini hapo majira ya nite flani hivi na kushoo Luv na Mapacha Watatu.

Lala Jemba Yatulizana Tuli sijui ndio ule wa 4 4 fooo

Mmm!!

Miss East Africa

Rena Calist Wadau wanapenda kuzungumza sana kuusi ilishindano lako la Miss East Africa , jinsi lilivyo juu wewe ni Nuru ya Mabadiliko.

Ebwana eee Picha Hii Imepata Comment Kibao Toka Kwenye Facebook!!

Da !! kama hali hii ni masuala ya kutoelewana na kutokea kwa vurugu tulinde Amani ya nchini yetu tusifike huku.

M-Net's Big Brother Africa - Season 6 Launches

IT’S YOUR CHANCE…. M-NET SEARCHES FOR NEW HOUSEMATES FOR BIG BROTHER AFRICA 6! January 2011 The house is being transformed. The lights and cameras are getting ready to roll again.The doors are opening…but will it be you to walk through them into the spotlight? M-Net’s BIG BROTHER AFRICA is looking for new housemates and the search starts right now! The biggest reality show on the continent, with its impressive USD 200 000 winner cash prize, is back for a ground-breaking 6 th season and the call for entries has begun in the 14 participating countries. Would-be housemates from Angola, Botswana, Ethiopia, Ghana, Kenya, Malawi, Mozambique, Namibia, Nigeria, South Africa, Tanzania, Uganda, Zambia and Zimbabwe who fulfil the entry criteria can enter now. If you are 21 years old or older, fluent in English, have a valid passport and are a citizen of any one of the 14 participating countries, then you too can enter. Simply collect an entry form from the MultiChoice o...

Jamani Stazzzzz

AMANI NINI HASA TATIZO KWA TIMU YETU YA TAIFA?mbona watanzania tunaisupport san...a, nikikumbuka tulivyoisupport ktk kombe la Tusker nakumbuka mtoto wa kike hadi sauti ilinikauka, Misri nikasema huko hata nafasi ya tatu tutachukua kama si ya pili, kumbe ni ndoto za alinacha, nini tatizo? Haya ni moja ya malalamiko toka kwa mwanadada mmoja kwenye Facebook.

Toka Kwenye Facebook Mully B Bling

Mama Muhehe Baba Mdigo, Mi mwenyewe Nimeoa Mwislamu sasa huo udini na ukabila mnaosema ukwapi ,,, nyinyi wanasiasa acheni kutuzingua kama mmeishiwa sera semeni,,, acheni kutulazimisha wabongo tutengane coz thats will never tokea ...

Meet The Dr. Martin Luther King That’s Never Quoted

By AHH Staff AllHipHop - AllHipHop Radio There are many images of Reverend Dr. Martin Luther King, Jr., but not is more celebrated than the doting, passive non-violent preacher that was inspired by Gandhi. Towards the end of his life, the MLK that emerged was increasingly vocal about world matters such as the Viet Nam war, more militant and less patient, evidenced in a book “Why We Can't Wait.” Below is an example of the Dr. King that is rarely represented in our yearly celebration of his life and times. It deserves attention, because it adds to the allure of his complexity as a man and iconic figure.

Ni Katika Flava Nite Mzalendo Pub

Fadhili akiwa katika picha na kimwana haswaaaaa ... Bibie Nuru Mohd akiwa amesubilia pozi la picha kwa raha zake uku Dj Venture akitabasamu. HAWA ni madj wa kweli , walikutana usiku wa jumamosi ndani ya Kiota cha Mzalendo Pub , Kijitonyama Jijini Dar es Salaam bata zilijikita kama kawa .

Jana Usiku Simba Iliweka Heshima Zanzibar

Mshambiliaji wa Simba Mussa Hassan 'Mgosi' alionekana mwiba dhidi ya watani wao wa Jadi Yanga zote za Dar es Salaam , katika mechi hiyo iliyopigwa Usiku Simba ilionekana kulisakama lango la Yanga tangu mwazo wa mchezo hadi mwisho Simba ilishilishinda mbili kwa nunge.

Wafuasi wa Chadema na Viongozi wa Chama wakiwa wamebeba Moja ya Mwili wa Marehemu

Cinnamon Spa

Dear All Cinnamon Spa is home to calmness. We provide a safe, caring and peaceful environment with professionally trained staff and excellent facilities. We have just opened our spa and we have the widest variety of therapies in Zanzibar, designed and tailored to make the very most of the spices on the islands of Zanzibar as all Swahili inspired therapies use locally available organic ingredients. For more information visit http://www.cinnamonspa.net/ or our Facebook page: http://www.facebook.com/pages/Cinnamon-Spa-Zanzibar/158163567540474?v=info For more information, please do not hesitate to contact our GM, Cynthia on 0777908000. We have residents membership and this will allow you discounts up to 35% on normal rates, Special offer, free membership available if you apply in next one week. Regards Kulsum, Javed and Cinnamon Spa Team

Ni Ukali wa Flava Nite Mzalendo Pub Jumamosi Iliyopita

Duu !!!!!!!

Vurugu za maandamano ya CHADEMA Zilizo tawala Arusha,

Wanachama na wapenzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa mji wa Arusha wakiwa wameshika mabango katika maandamano hayo kabla ya wanausalama kuanza kuzuia maandanayo hayo.

Chuck D's Open Letter On Media, Messages & Pimps

By Chuck D of Public Enemy [Note: Chuck D wrote this essay as a letter to Chuck "Jigsaw" Creekmur (AllHipHop.com) and Davey D (DaveyD.com). With permission, the message by the Public Enemy leader, has been edited slightly into a scathing editorial about the media, Hip-Hop and the how the culture has been pimped by a mere few.] Chuck D: I really don't know what constitutes for "relevant" coverage in HIP-HOP news in America these days, but I really want to give you all a heads up. As you know I've been through three passports, 76 countries on the regular in the name of Hip-Hop since 1987 and in 2010, although I've never stopped trav...

Mazishi ya Mpiga Bess wa Band ya Sikinde Ngosha .

Waanamuziki wa dansi nchini wakijiandaa kuushusha mwlili wa marehemu Mstafa John Ngosha alifariki juzi usiku saa tano nyumbani kwake Bugurunu na kuzikwa katika makaburi ya Magomeni Makuti . wakiwa wamebeba jeneza lililowekwa mwili wa Marehemu Mstafa Ngosha. Wasanii wa muziki wa Dansi nchini wakiwa katika picha ya pamoja na mbunge wa jimbo la Kinondoni Idd Azani Nyumbani kwamarehemu.

Club Continental

BENKI YA KBC TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA SHIRINGI MILIONI 10.

Mwenekiti wa Bodi ya wa Kurugenzi wa benki ya KBC Edmund Mdolwa kushoto akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10 kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai DR.Norman Adamson Sigalla kwaniaba ya kusaidia ujenzi wa shule ya Sekondali ya Lyasikika, hafla hiyo ilifanyika leo katika makao makuu ya benki hiyo iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa KBC Christina Manyenye na Head of Credit Ronald Kitti. wakishuhudia utoaji wa msaada huo. Mweneyikiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya KCB Edmund Mndolwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai DK.Norman Adamson wakitwta jambo katika hafla ya kukabidhiana msaada wa shilingi Milioni 10 kwa ajili ya shule ya Sekondary ya Lyasikika iliyopo wilaya ya hai mkoa wa Mohi. Mkuu wa Wilaya ya Hai Dr.Norman Adamson akishukuru kwa kupata msaada huo. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakirugenzi wa benki ya KCB Edmund Mndolwa akitoa talifa ya huduma zinazotolewa na benki hiyo.

SALAM ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA,TAREHE 31 DESEMBA,2010

Ndugu Wananchi; Habari za jioni. Leo tunauaga Mwaka 2010 na kuukaribisha Mwaka 2011. Kama ilivyo ada, hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, kwa kutujaalia uhai na kutuwezesha kuifikia siku hii adhimu. Wapo ndugu, jamaa na marafiki zetu wengi ambao hawakujaaliwa bahati hii kwa kuwa wametutangulia mbele ya haki. Tuzidi kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awape mapumziko mema.Ndugu Wananchi;Kwa namna ya kipekee mimi binafsi, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia uzima na kuniwezesha kuendelea kuitumikia nchi yangu na ninyi wananchi wenzangu. Nawashukuruni sana wananchi wenzangu kwa kuendelea kuniunga mkono mimi na kuiunga mkono Serikali yetu ninayoiongoza. Mmefanya hivyo mwaka huu tunaoumaliza leo na tangu tuingie madarakani miaka mitano iliyopita mpaka sasa. Imani na upendo mliyotuonesha vimetupa faraja na ari ya kuendelea kuwatumikia kwa bidii zaidi. Nawaomba muendelee na moyo huo katika mwaka mpya tunaoukaribisha usiku wa leo. Mimi nawaahidi kuendelea kutu...