Kuanzia sasa mteja yeyote yule wa simu za mkononi atakayejiunga na Vodacom, atapata SMS 100 za BURE na azitumie kwenda kwenye mtandao wowote ule wa simu. Ni rahisi kabisa, nunua laini yako mpya ya Vodacom, jiunge, jisajili na upate SMS 100 BURE!!
Vilevile, kwa wateja wa Vodacom ambao watasajili namba zao kabla ya 14/11/2010 pia wataweza kupata SMS 100 BURE.
Epuka kusitishwa kwa mawasiliano yako kwa kwenda kusajili namba yako Vodashop, Vodaduka au kwa wakala wa M-PESA ukiwa na kivuli cha kitambulisho chako na upate SMS 100 BURE!!
Comments