Skip to main content

Mduara Nikati ya Raha za Flava Nite Kila Jumamosi

MDUARA kwa sasa mambo yake yapo juu ilembaya mashabiki wa burudani uonesha furaha tele
mara tu djs wanapokuwa wakicheza truck katika mirindimo hiyo , hawa ni wapenzi wa la Flava Nite wakiwa wamejiachia kinamna hiyo katika ukumbi wa Mzalendo Pub katika jengo la Millenium Tower Jijini Dar es Salaam.

Comments