Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
JANA mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema John Mnyika alitangazwa mshindi katika jimbo hilo na kufanya Chama Cha Chadema kufikisha Wabunge wawili katika jiji la Dar es Salaa , ambapo jimbo la Kawe lilichukuliwa na Mh .Halima Mdee ambapo furaha tele zilisikika katika kona za jiji la Dar es Salaa.
Comments