DJ mkali katika milazo anayetambulika vema katika bara la Afrika Peter Chuani aka DJ Pinye amempoteza mama yake .
Kwa mujibu wa taarifa aliyotoa katika Account yake ya mtandao wa Facebook akiwa ameiandika 'Rest In Peace ... Mom..
Tayari kundi la madi wa Pro 24 djs ambao wengi wameisha fanya kazi Jijini Arusha
wamepa salaam za Pole dj huyo kwa kumpoteza mama wa Dj huyo.
Umahiri wa Mkali huyo umeenea sana Africa na hasa ukanda wa East Africa.

Comments