Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2010

Dj Venture Akiwa na Kimwana ndani ya Flava Nite

Kutoka Facebook ya Boniface Hi ilikuwa ni Flava Nite

Click on people's faces in the photo to tag them.

Taarifa kwa Vombo vya Habari

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akutana kwa mara ya kwanza na Baraza lake jipya la mawaziri Ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi(Picha: Freddy Maro)

Ni Grooveback Nite na Ukali wa Kutosha

Watu wa Grooveback Nite wako mzigoni

Mandhari ya Zanzibar

Mgahawa Makunduchi , Supu Ipo!. Ujumbe kutoka Makunduchi , Zanzibar Add a caption

Hapa ni Makamuzi Tu

Namna kama hii inaleta raha , Je unaye wa kukuandalia Inshu kama hizi...

SIKU YA MCHUJO WA PILI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010

Hii ndio top 15 ya mamodo wakali Tanzania kwa mwaka 2010-ambao wakipozi kwaajili ya picha kabla ya mchujo Baadhi ya wanamitindo wakipata chakula cha mchana katika hoteli ya Giraffe ocean view hotel,michael maulus meneja utawala wa unique Entertainment akijichanganya na mamodo katika menyu.

Kuchagua Filamu Bora 2010

Ikiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2010.kama wadau wa tasnia ya filamu tumeandaa mchakato wa kuchagua FILAMUCENTRAL BORA ZA 2010. Wadau watapata kuchagua filamu na wasanii waliofanya vizuri mwaka huu.Mchakato utaanza tarehe 1/12/2010 hadi 24/12/2010 hadi 24/12/2010. Kura zitapigwa kupitia www.filamucentral.co.tz na zawadi kem kem zitatolewa kila siku kwa wapiga kura.

Pata Ukali wa Mitikisiko ya Pwani

Kwa mara nyingine tena Times radio fm imeandaa Tamasha la Mitikisiko ya Pwani lenye kauli mbiu isemayo “MITIKISIKO YA PWANI 2010 NI ZAIDI YA BURUDANI” Mitikisiko ya Pwani - Burudani ya Taarabu ilianzishwa miaka mitatu iliyopita na hadi sasa imeendelea kuvutia wapenzi wengi wa muziki wa Taarabu, na utamaduni wa pwani na hivyo kuwa tukio maarufu hapa Tanzania hususan Dar es salaam. Mwaka jana Mitikisiko ya Pwani ilifanyika kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba ikiwa na lengo la kuvitambulisha na kuzisaidia bendi bora za muziki wa Taarabu Jijini Dar Es Salaam huku likihudhuriwa na maelfu ya watu. Burudani ya Mitikisiko ya Pwani mwaka huu ina madhumuni ya kusaidia jamii na pia kutoa burudani kwa wapenzi wa Taarabu na Watanzania kwa ujumla. Tamasha hili litakuwa nafasi kubwa ya wapenzi wa muziki wa Taarabu kusikiliza, kuangalia na kucheza tungo bora kutoka kwa bendi zote mahili za Taarabu nchini. Zawadi kadhaa zitatolewa kwenye Tamasha hilo ikiwa pamoja na zawadi kutoka kwa wadh...

Thanksgiving or Thankstaking? Celebrating Genocide?

By Dan Brook Many people annually get as stuffed as their turkeys in celebration of the Thanksgiving holiday. Thanksgiving is a quintessentially American holiday, so much so that it is not just a holiday, but really is (as the etymology implies) one of our Holy Days, almost universally celebrated by Americans. In its sacredness, families get together to (unintentionally?) celebrate one genocide (against Native Americans) by committing another (against turkeys). Can we celebrate in good faith and conscience? On Thanksgiving Day, we give thanks. We give thanks for being the invader, the exploiter, the dominator, the greedy, the gluttonous, the colonizer, the thief, indeed the genocidaire, rather than on the other s...

Tumpe Kura Mtanzania Huyu

PATA OFA

Rais Jakaya Kikwete Akitangaza Baraza la Mawaziri

WAHARIRI wa vyombo mbalimbali vya habari wakiondoka Ikulu baada ya kumalizika kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri.

Usikose : Club Continental

Mandhari Katika Baadhi ya Maeneo ya Zanzibar

Michenzani Zanzibar leo Zanziba Kuelekea Shamba

URGENT VACANCIES IN UK 4 STAR HOTEL

WJOB OFFER! e offer numerous opportunities for motivated and interested individuals. The 4 star hotel is a well established and rapidly growing luxurious hotel with wide network of outlets around the world. We require talented, resourceful and exceptional team players to take up vacant spaces in our various departments in our hotel. JOB LOCATIONS - London METHOD OF APPLICATION - All interested candidates should reply via email with an updated Resume (CV) - Only short-listed candidates will be contacted - Only applicants who possess the required qualifications will be Short- listed for Appointment, but we will also give space to those who don't have any hotel experience that may be special candidates. All Resumes information should be updated and to be forwarded to this Email:recruitcareerabroaduk@ gmail.com or/and ( recruitcareerabroad@hush.ai ) BASIC REQUIREMENT: 1. Candidate must be able to Read or Write English language. 2. Age limit. From 18-50years 3. Candidate must be able t...

Mduara Nikati ya Raha za Flava Nite Kila Jumamosi

MDUARA kwa sasa mambo yake yapo juu ilembaya mashabiki wa burudani uonesha furaha tele mara tu djs wanapokuwa wakicheza truck katika mirindimo hiyo , hawa ni wapenzi wa la Flava Nite wakiwa wamejiachia kinamna hiyo katika ukumbi wa Mzalendo Pub katika jengo la Millenium Tower Jijini Dar es Salaam.

Ni Jumamosi Mango Garden

MTOTO wa Marehemu TX Moshi Willian Hassan akiwa ameketi na mcheza filamu maarufu Jini Kabula. Kila siku za mwisho wa wiki ukumbi wa mango Garden bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta upolomosha burudani ya nguvu.

TMK Wajipanga Tena Kivile....

TMK Wanaume Family,imewataka wapenzi wake kujitokeza kwa wingi katika tamasha la Amka Kijana litakalofanyika Jumamosi hii, kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.

MAMA ASHA BILAL AFUNGUA MAONYESHO

MKE wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akikata utepe kuashiria kufungua rasmi maonyesho ya kazi za wake wa Mabalozi, yaliyoandaliwa na Kikundi cha wake wa Mabalozi kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusaidia watu wasiojiweza, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Tanganyika International Masaki jijini Dar es Salaam Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akiangalia bidhaa za Vitenge vya Nigeria katika Banda la Nigeria wakati wa Maonyesho ya Kazi za Wake wa Mabalozi yaliyoandaliwa na Kikundi cha Wake wa Mabalozi, kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusaidia watu wasiojiweza, yaliyofanyika Shule ya Tanganyika International Masaki Jijini Dar es Salaam leo Nov 2o. Kushoto ni Wabunge wa Viti Maalum, Zainab Vullu na Halima Mamuya

Cheki Maandiko Yameandikwa Marufuku Lakini ...

T.I.: Letter From Jai

This experience is truly a pain I have never felt before and that's saying a lot for a n***a who's been down locked up as many times as I have. I see this as a real ass whoopin'. The kind you don't just go back outside to play afterwards. You take ya ass to bed and don't come out of your room until it's time to go to school. I don' t know what effect this will have on my life moving forward but I'm certainly sick and mother f*cking tired of going to jail, juve, prison, the pen, correctional facilities or whatever else you want to call it. I'd have been better off doing a 5-10 year bid one time than going in time and time again for days, weeks and months for the last 15 years of my life. Even though it's been a long road, I'm still standing, barely but ...

Cheki Ukali Ebwana ndiyo !!

Hey friends check out this...this is a professional CD Cover for Master Tracks...for MJ Records! Click on people's faces in the photo to tag them. David will be asked to approve all tags before others can see them. Add a caption Hey friends check out this...this is a professional CD Cover for Master Tracks...for MJ Records!

Mida Mida Kutoka Kwenye Facebook

Click on people's faces in the photo to tag them. Eric will be asked to approve all tags before others can see them. hahahahaha...nilikuwepo na mie siko nyuma/ otea hiki kiwanja gani na siku gani unaweza kujizolea complimentary ya kutimba kiwanja hichi/ Hapa ni Boniventure Kilosa & Eric Shiyo moto uliwaka pande hii yani ni party people none stop buggie down till kokoliko....oioioi Add a caption hahahahaha...nilikuwepo na mie siko nyuma/ otea hiki kiwanja gani na siku gani unaweza kujizolea complimentary ya kutimba kiwanja hichi/ Hapa ni Boniventure Kilosa & Eric Shiyo moto uliwaka pande hii yani ni party people none stop buggie down till kokoliko....oioioi

Pro 24 Table tops & Turntable

Click on people's faces in the photo to tag them. Dj-cavy will be asked to approve all tags before others can see them. Add a caption

DJ Pinye Ampoteza Mama

DJ mkali katika milazo anayetambulika vema katika bara la Afrika Peter Chuani aka DJ Pinye amempoteza mama yake . Kwa mujibu wa taarifa aliyotoa katika Account yake ya mtandao wa Facebook akiwa ameiandika 'Rest In Peace ... Mom.. Tayari kundi la madi wa Pro 24 djs ambao wengi wameisha fanya kazi Jijini Arusha wamepa salaam za Pole dj huyo kwa kumpoteza mama wa Dj huyo. Umahiri wa Mkali huyo umeenea sana Africa na hasa ukanda wa East Africa.

SMS 100 BURE!!

Kuanzia sasa mteja yeyote yule wa simu za mkononi atakayejiunga na Vodacom, atapata SMS 100 za BURE na azitumie kwenda kwenye mtandao wowote ule wa simu. Ni rahisi kabisa, nunua laini yako mpya ya Vodacom, jiunge, jisajili na upate SMS 100 BURE!! Vilevile, kwa wateja wa Vodacom ambao watasajili namba zao kabla ya 14/11/2010 pia wataweza kupata SMS 100 BURE. Epuka kusitishwa kwa mawasiliano yako kwa kwenda kusajili namba yako Vodashop, Vodaduka au kwa wakala wa M-PESA ukiwa na kivuli cha kitambulisho chako na upate SMS 100 BURE!!

SITTA ALIPOAPISHWA NA ANNA MAKINDA

SPIKA wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta akiapishwa na aliyekuwa Naibu wake Anna Makinda, ambaye alishinda kinyang'anyiro cha kuwania Kiti hicho cha Spika na kutangzwa rasmi kuwa Spika wa Bunge kwa kipindi cha miaka mitano. Samuel Sitta sasa atakuwa akiwajibika kwa zaidi katika Jimbo lake la Urambo Mashariki. Chanzo ni www.sufianimafoto.blogspot.com

Chrisette Michele Denounces Hip-Hop, Rick Ross' Actions

By Chrisette Michele After the "Soul Train Awards," Rick Ross didn't win and apparently caused enough ruckus. Such a ruckus it was, Chrisette Michele wrote a blog devoted to Hip-Hop and her collaborator Ross. The blog entry is below. Award Show : If this is the way hip hop is then I denounce it. This is not about ego. This is about what I can bring to the world. My life is for the people. I live to give. It’s my desire to bring life and freedom light and love everywhere I go. Upward mobility in the brown skinned community. Who stands off at an award show because they don’t win? An award is winning at being as “stuck in a category” as possible. Congratulations to ...

Ni Bungeni Dodoma

SAMWEL Sitta Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki na Spika wa bunge lililopita akipongezana na Mbunge kijana wa jimbo la Kawe HalmaMdee katika viwanja vya Bunge.