Msanii Diamond Platnumz anazidi kukusanya tuzo barani Afrika, usiku
wa kuamkia January 31 ameshinda tuzo mbili katika tuzo za Hipipo AWARD
za nchini Uganda. Diamond ameshinda tuzo ya Nyimbo bora ya Afrika ya Mashariki na video bora ya Afrika ya Mashariki.
Katika Mtandao wa Instagram, Diamond Platnumz ameandika “Awards tonight on @HipipoAwardsUGANDA…EAST AFRICA SUPER HIT#NANA and EAST AFRICA BEST VIDEO#NANA many thanks to my brother@2niteflavour
@i_am_godfather and all Behind this Hit!!!… thanks alot @HIPIPOAwards for keep supporting the real African talent!
(Wadau kijana wenu nimefanikiwa kushinda tunzo mbili Usiku wa leo kama NYIMBO BORA AFRICA MASHARIKI#NANA na VIDEO BORA AFRICA MASHARIKI #NANA nawashkuru sana kwa kura na support zote mnazoendelea kunipa….. tafadhali nisaidieni kuhesabu ni tunzo ngapi tumechkua tangu Mwaka 2016 uanze? ) shukran sana@tommyleeafrica kwa kuiwakilisha vyema @Wcb_wasafi Uganda!“.

Comments