Ligi Kuu Uingereza imeendelea siku ya Jumamosi kwa kuwa na michezo
sita ambapo vinara Leicester City iliendelea kujiimarisha kileleni baada
ya kuifunga Norwich 1-0 katika dimba la King Power.
Nao mabingwa watetezi Chelsea waliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Southampton katika Uwanja wa St. Mary.
Matokeo mengine ni kama ifuatavyo;
Jumamosi 27 Februari 2016
West Ham 1 – 0 Sunderland
Leicester 1 – 0 Norwich
Southampton 1 – 2 Chelsea
Stoke 2 – 1 Aston Villa
Watford 0 – 0 Bournemouth
West Brom 3 – 2 Crystal Palace
Jumapili 28 Februari 2016
Liverpool v Everton 15:00
Newcastle v Man City 15:00
Man Utd v Arsenal 17:05
Tottenham v Swansea 17:05
Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki
Comments