This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 1404w" alt="Eric Potin" width="702" height="336" class="attachment-main-slider size-main-slider wp-post-image no-display appear" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" title="Shule 18 Dar kunufaika na elimu ya usalama barabarani kutoka kwa CFAO Motors Group na Alliance Autos" /> Katika kusaidia kupambana na ajali za barabarani kwa watoto wa shule za msingi jijini Dar es Salaam, kampuni ya CFAO Motors Group kwa kushirikiana na Alliance Autos ambao ni wauzaji wa magari ya Volkswagen wametoa msaada wa elimu na vifaa vya usalama barabarani kwa shule 18 zilizo katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam. Akizungumzia msaada huo Meneja wa Volkswagen nchini, Tharaia Ahmed amesema kuwa lengo la kutoa elimu na vifaa hivyo ni kuwasaidia wanafunzi wa shule ambao wengi wao...