Siku Chama Cha Chadema Kilipofanya Kongamano na Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Wanafunzi Ambao ni Wanachama Vijana wa Chama Hicho CHASO
WANAZUONI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakiwa katika Viwanjwa vya Ubungo External wakimsikilza kwa makini Katibu Mkuu wa Chadema DR. Wilbroad Slaa wakati alipokuwa akiwahutubia wanachuo hao jumla ya mada mbalimbali ziliongelewa ikiwa lengo kubwa ni kujadili swala la Mchakato wa katiba mpya.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo akitoa hutuba kwa wanafunzi ambao ni wanachama wa Chama cha Chadema CHASO wakati wa kujadili mstakabil wa Taifa hasa kuhusu mabadiliko ya Katiba .
Dr, Wilbroad Slaa ambaye ni katibu Mkuu wa Chama cha Chadema akiwa na Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika wakifuiatilia maada ya katiba iliyokuwa ikifundishwa na Mabere Malando ambaye ni mwanasheria wa Chadema

Comments