Maelfu ya wananchi wa Misri wametapakaa katika eneo la wazi la Tahrir mjini Cairo, siku moja baada ya kujiuzulu kwa Rais Hosni Mubarak.
Baada ya miaka 30 madarakani, Bw Mubarak alilazimishwa kuondoka madarakani kufuatia siku 18 za maandamano ya kupinga serikali.
Comments