Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2011

Ukali wa Flava Nite Jumamosi Usiku

Ndani ya Kiota cha Mzalendo hivi ndivyo mambo yalivyo kuwa.

Moja ya Eneo Lililopo Zanzibar

Duu !!

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARD 2011 T0P 5 NOMINIEES, 22 CATEGORIES

Leaders Club na Wadau !! Jioni Hii

Katikati ni MKurugenzi wa Rena Events , Rena Callist akiwa kati kati na wakwanza kutoka kushoto ni Mie Machibya na wamwisho kulia ni Kaka ama mudau John tall mda mfipi wa leo tukiwa katika eneo la Leaders Club ambapo lilikuwa likiporomoshwa Bonanza , bendi ya Twanga Pepeta ndio Washareheshaji .

Tamasha La Pasaka Lasaidia Wahanga Wa Gongo La Mboto Laja

Promotions wanadaaji wa Tamasha kubwa la Pasaka , Alex Msama amesema kwamba kiasi cha fedha zitakazopatikana katika tamasha hilo, zitatumika kuwasaidia waathirika wa mabomu yaliyotokea kwenye kambi ya jeshi Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam. Msama amesema hayo baada ya kuwakabidhi waathirika wa milipoko hiyo msaada wa vitu mbalimbali wenye thamani ya ya shilingi mil 3. Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ndiye aliyekabidhi msaada huo jana katika ofisi ya redio ya Clouds FM iliyoko Mikocheni, Dar es Salaam. Vitu vilivyotolewa ni magunia manne ya mchele, kila moja likiwa na kilo 120, magunia mawili ya maharage, magunia 10 ya unga wa mahindi, mifuko miwili ya sukari, mifuko mitatu ya unga wa ngano yenye kilo 25 kila moja na ndoo mbili za mafuta ya kupikia. Akizungumza baada ya kukabidhi msaada huo, Msama alisema wameguswa na waathirika hao, na pia wanafanya hivyo ikiwa ni kutimiza moja ya malengo ya tamasha hilo. Msama alisema wamepokea kwa mas...

Kiota Cha Mzalendo Pup Shazzzz na Mwendo wa Kula Bata Jana

Kwa pozo la kweli , wakiwa na sura zenye bashasha kwa bata zilizo kuwa zikiendelea kwenye kiota cha Mzalendo Pub jana Flava Nite. Bata na shangwe Ufanyika hapa kila jumamosi usiku ndani ya kiota iki cha Mzalendo Pub kwa kiingilio cha buku tano tu.

Naughty By Nature Explains Why The Struggle Continues

By AHH Staff CIVIL RIGHTS - THE STRUGGLE CONTINUES Black people are a resilient people - from the days of Jim Crow segregation, to the Civil Rights Movement of the 1950s and 60s, to current injustices in society. Black History is about honoring our forefathers by honoring the lessons they taught us. Today, education is the "great emanicipator," and the young Hip-Hop generation has more opportunities and rights than ever before. - Seandra Sims Legendary rap group Naughty By Nature shares some wisdom with AllHipHop.com on why it's important to honor the past and build a strong future.

Mambomu Yaitikisa Dar es Salaam

Hali hii ilikuwepo kwenye makazi ya watu Gongo Lamboto Jijini Dar es Salaam jana mpaka leo hasubuhi.

Skendo Iliyoonekana Kutikisa Nchi !

Skendo ambayo ilikuwa gumzo katika nchi yetu ni hii ambayo hata mababu vikongwe walipenda kuifuatiolia kiundani pichani ni mkazi wa Kinondoni ambaye hakupenda kutaja jina akisoma Gazeti la Mwananchi lenye kichwa cha habari kisemacho DK.HOSEA ADAIWA KUFICHUA SIRU ZA JK. skendoo hii imekuwa funga kazi ya mwaka.

Kazi Kweli Kweli !!

Hate On Valentine's Day

EDITORIAL By Kevin Powell Those of you who know me or my work know that I am anti- all forms of hatred and bigotry, be it racism, anti-Semitism, sexism, classism, homophobia, religious intolerance, or a reckless disregard for the disabled or handicapped. That at this stage in my life, and for the rest of my life, I am a firm believer in nonviolence, love, and forgiveness, even of those who have wronged us in some way. That, as evidenced by my life journey as an activist, writer, and public speaker, I truly do love all people. And mean it— Nor do I believe in ever viewing myself solely as a victim these days, either, because of my race, or my past class background of poverty. I am with bringing people together, with our communicating with each other through our differences, with our healing that which separates us due to our differences, whenever and however...

Siku Chama Cha Chadema Kilipofanya Kongamano na Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Wanafunzi Ambao ni Wanachama Vijana wa Chama Hicho CHASO

WANAZUONI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakiwa katika Viwanjwa vya Ubungo External wakimsikilza kwa makini Katibu Mkuu wa Chadema DR. Wilbroad Slaa wakati alipokuwa akiwahutubia wanachuo hao jumla ya mada mbalimbali ziliongelewa ikiwa lengo kubwa ni kujadili swala la Mchakato wa katiba mpya. Mbunge wa Jimbo la Ubungo akitoa hutuba kwa wanafunzi ambao ni wanachama wa Chama cha Chadema CHASO wakati wa kujadili mstakabil wa Taifa hasa kuhusu mabadiliko ya Katiba . Dr, Wilbroad Slaa ambaye ni katibu Mkuu wa Chama cha Chadema akiwa na Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika wakifuiatilia maada ya katiba iliyokuwa ikifundishwa na Mabere Malando ambaye ni mwanasheria wa Chadema

Msome Barnabas

BAADA ya kuzindua albamu aliyoipa bila ya kumshirikisha msanii yoyote, mwimbaji nyota wa kundi la Tanzania House of Talent (THT), Elias Barnaba amesema kuwa sasa anataka kuwashirikisha wasanii wa Afrika Mashariki katika albamu yake ya pili.Barnaba alikuwa ni miongoni mwa wasanii wa THT wakati wa hafla ya kuazimisha miaka mitano ya kundi hilo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam. Wakati msanii huyo mwenye sauti tamu akizindua albamu yake ya Kichwa Changu', wasanii wengine waliozindua albamu zao katika hafla hiyo ni Doto Kalengeza 'Dito', Amini Mwinyimkuu, Mwasiti Almasi na Linah.Albamu ya 'Kichwa Changu' imebeba nyimbo za Sipendi Dharau, Samahani, Tulizana,na Some Day kilichopigwa na mwanamuziki Lokua Kanza kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo [DRC]Barnaba alisema kuwa ameamua kuwashirikisha wasanii wa Afrika Mashariki ili kuongeza utamu zaidi ndani ya nyimbo zake."Albamu ya kwanza nilikuwa nataka kuonyesha uwezo wa...

Ni Bungeni Mkoani Dodoma

Flava Nite Ijumaa Ilianza Kujikita Garden Bistro

HAPA ilikuwa ni mapema sana ambapo Dj mwenye milazo mingi Dj Mackay alianza hatua ya kuchizisha mashabiki na kufanya hali ya mambo kuwa safi , Garden Bistro ni kiwanja kipya , kwa burudani ya Flava Nite mambo yalikuwa safi Ijumaa wiki iliyomalizika kabla ya jana Flava Nite iliporindima tena katika kiota cha Mzalendo Pub . Wadau wakuu katika Flava Nite Garden Bistro .Kwa kiingilio cha buku nine tu.

Sasa Misiri Ikomokononi Mwa Jeshi

Sherehe baada ya Mubaraka kutangaza kuondoka.

Hosni Mubarak Haachia Nchi Baada ya Miaka 3o

Maelfu ya wananchi wa Misri wametapakaa katika eneo la wazi la Tahrir mjini Cairo, siku moja baada ya kujiuzulu kwa Rais Hosni Mubarak. Baada ya miaka 30 madarakani, Bw Mubarak alilazimishwa kuondoka madarakani kufuatia siku 18 za maandamano ya kupinga serikali.

Mzee Yusuf Kukandamiza Mda Mchahe Baadaye Travertine Magomeni

Si yakukosa Hii

Nicki Minaj Beef

Mwana dada huyo kwa sasa ni nyota inayong'ara Marekani na wana Bifu la kike kike na Lil Kim si kama Bifu tuliyokwisha yaona ya Kiume ambapo mpaka huwa kinaeleweka. Hii ni lamba ya mwana muziki anayevuma kwa sana katika anga za gemu mambele mwana dada Nick Minaj .

Bongo Solution Yaja Kuwashika !!

Wataalam hawa wa mambo Kem Kem wamepania kuwashika vilivyo wakazi katika jiji la Dar es Salaam pamoja na kwikingineko.

A Black History Month Special: Kool Herc, Hiphop, and Healthcare

WRITER’S NOTE: Please visit this site right away to learn more about Kool Herc and how you can support him during his time of medical challenges: http://www.djkoolherc.com/ I can’t even remember the first instance I heard the name “Kool Herc,” but I am fairly certain it was during the mid to late 1980s. Ronald Reagan was president, Jesse Jackson was, well, different, a new jack filmmaker named Spike Lee was stirring the pot called Hollywood, and I was a young and avid “hiphop head.” Ever since I digested the boom-bap strands of hiphop in the late 1970s in my native Jersey City, New Jersey (my hometown’s local hiphop heroes was a crew called Sweet, Slick, and Sly) I was hooked. The Sugar Hill Gang’s landmark song “Rapper’s Delight,” which I would later learn plagiarized lyrics from Grandmaster Caz of the legendary Cold Crush Brothers, was the shot heard ‘round the world. Kurtis Blow was hiphop’s first solo superstar. Afrika Bambaataa was the spiritual and musical emi...