WASANII wa kundi jipya la muziki wa Bongofleva 'FJ Mob' , kundilenye maskani yake Jijini Dar es Salaam ,tayari wametoa wimbo wao mpya uitwao jina la 'Faiza' ambao ni wimbo wenye ujumbe wa mapenzi.
Kundi hilo linaloundwa na wasanii Moses Jackson 'Fanakoshi' pampja na Juma Mussa 'Juma Nyamwela'awali kabla ya kuunda kundi hilo kila mmoja aliai kuachia wimbo wake kabla ya kuwa kundinini.
Kundi hilo kwa sasa limeisha anza hatua ya kurekodi pia nyimbo zingine ilibaadaye waje na ujuio wa albamu yaomapema mwakani.
"Hadi hivi sasa kweli tupokatika hatua kubwa kimuziki kwani tumeisha anza kupakua nyimbo mbali mbalizitakazo kamilisha albamu yetu hiyo,'' walisema wasanii hao.
Apokabla 'Fanakoshi' aliwai kupua wimbo uliojulikana kwa jina la 'Sio Safi' akiwa amemshirikisha Nuruel Mbowe ambapo pia 'Juma Nyamwela' aliwai naye kutoka wimbo ulioitwa ' Tuwemacho binadamu' ambapo aliwashirikisha Maluungoi na Jua Kali Rapa wa TOT , vile vile 'Juma Nyamwela aliwaikushinda mashindano ya Tanzania Best Dansa yaliyofanyika TTC, Chang'ombe na ndipo alipo vutwa na Bendi ya muziki wa Dansi ya TOT.
Comments