Hapa ni (The Rock City) , kwa sasa utapata baadhi ya mambo ya wasanii wa jiji hilo
kuanzia kesho na msanii aliyewai kutesa na kibaochake 'Mambo Kawaida' Dr K B tutaanza naye
kuanzia kesho na msanii aliyewai kutesa na kibaochake 'Mambo Kawaida' Dr K B tutaanza naye
akizungumzia namna ilivyo kuwa kwani kwa sasa changamoto nyingi za wasanii wa ukanda huo wapo Dar na Phili bert Kabago atadodosa akiwa kama mtangazaji wa Pashion FM ya jijini huko.
Comments