kimali Benedictor ama 'Dr KB' ni miongoni mwa wasanii waliowai kurekodikazi za zao katika studio za jijini Dar es Salaam, japokuwa mvuto wa sanaa ya Mwanza miaka ya nyuma katika ukanda wa Jiji hilo, ulikuwa mgumu kwa msanii kurekodikatika studio nzuri ambazo zilikuwa zikipatikana Dar es Salaam tu ,miamba ya nyuma kabla yake ilisha wahi pia kutia timu mwanzoni miaka ya nyuma japokuwa walikuwa wasanii wachache sana tofauti na sasa, WAMEWEZA HATA KUJA NA KUKETI JIJINI DAR .
Mtazamo mkubwa wa Dr K B , alitaka kufanya ushindani kuinua wasanii wasiweze kudhulumiwakatika ukanda huo , japokuwa jicho lake hilo lilitiliwa dosali mara kadhaa.
Aliwai kuandaa tuzo kupitia Kampuni ya Gloryhood Music Award march 2001.
Ukujicho la uandaaji muzima Ikiwa imeandaliwa na Mkurugenzi wake John Kuinegeja ,kupitia mlolongo huo, tuzo kibao katika namna tofauti zilitolewa kwa wasanii wamwanzahua nakumbuka sana Mimi Machibya tuzo hizo kwani nilichukua tuzo iliyogawiwa kwa Msaniinguli wa Kwana mwanza kufanya albamu Dar es Salaam akitokea mwanza KING KIFF NIGGA, ambapo nguli huyo alipata tuzo ya msanii Bora wa zamani.
Pia, kundi ililo tikisa na kukaa katika chati za Redio One baadaye kupitia nyimbo kumi bora katikakwewnye chati ya Radha kumi zabongo , kwa muda wa wiki tiza mfululizo na kuogopwa kupitia track ya Mwanza zilekebishe Bara Bara ,Kundi hilo lililoitwa B.W.V nalo lilijichukulia moja ya tuzomuhimu siku hiyo.
Pia Dr KB alipata tuzo yenye maelezo haya , This Certficate of merit is awarded to : KBFor HIP HOP ALBAM BORA , THE CULTURE OFFICER MWANZA CITY COUNCIL.
Mambo Kawaida ilikuwa ndio sooo ilembaya ndio albamu iliyopelekea kuchukua tuzo hiyo yaDr KB
Kwa sasa Dr KB ni moja ya wanajamii bora kabisa kwani licha ya kuwa msanii vilevile nimwenye familiaana mke na mtoto mmoja, Blog hii ilifanya nae maongezi kutokea maskani yake uko nyumbani kwaomtaa wa Unguja jijini Mwanza na tulipiga story nyingi kwani ni muda nilikuwa sijaonana nae toka nije Dar katika majukumu ya kimaisha , nani ilimuona mtoto na mkewe kweli ni mtu anayefurahia kuwa na familia na muonekano walivyonipokea ulikuwawa maongezi ya kiutu uzima niliipenda hali hiyo.Tutaendelea nayo Inshu hii siku za usoni ii nimekupa nikiduchuuuuu tu mtuwangu.

Comments