Dr KB vile vile katika kufikia kuelewa makubwa katika ramani ya gemu la muziki nimoja ya wachache sana waliojichanganya angaza wanyamwezi , waliotua nchini kuweka sawa chicho la sanaa ya Hio Hop , inshu iliiitwa hivi The British Council Lyrical Lounge Tour Tanzania 2002.
Ambapo alioudhuria wote walipata cheti kama alamavulani hivi ambapo KB kwa upande wakekilikuwa kimeandikwa hivi Kimali Benedictor (Dr KB) Successfully Completed a Workshop in MCingConducted by Ty on 21 - 22 January 2002 at The Diamond Jublee Hall Dar es Salaam Tanzania.

Comments