Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2009

SASA MKUU TUNATOKA NI FJ MOB HAWA

WASANII wa kundi jipya la muziki wa Bongofleva 'FJ Mob' , kundilenye maskani yake Jijini Dar es Salaam ,tayari wametoa wimbo wao mpya uitwao jina la 'Faiza' ambao ni wimbo wenye ujumbe wa mapenzi. Kundi hilo linaloundwa na wasanii Moses Jackson 'Fanakoshi' pampja na Juma Mussa 'Juma Nyamwela'awali kabla ya kuunda kundi hilo kila mmoja aliai kuachia wimbo wake kabla ya kuwa kundinini. Kundi hilo kwa sasa limeisha anza hatua ya kurekodi pia nyimbo zingine ilibaadaye waje na ujuio wa albamu yaomapema mwakani. "Hadi hivi sasa kweli tupokatika hatua kubwa kimuziki kwani tumeisha anza kupakua nyimbo mbali mbalizitakazo kamilisha albamu yetu hiyo,'' walisema wasanii hao. Apokabla 'Fanakoshi' aliwai kupua wimbo uliojulikana kwa jina la 'Sio Safi' akiwa amemshirikisha Nuruel Mbowe ambapo pia 'Juma Nyamwela' aliwai naye kutoka wimbo ulioitwa ' Tuwemacho binadamu' ambapo aliwashirikisha Maluungoi na Jua Ka...

MISS TOURISIM ILALA WALAMBA MILIONI 50

Katika shindano hilo la burudani zitaporomoshwa na bendi mbili tofauti katika kuleta ladha tofauti ambazo ni Diamond Musica na Extara Bongo wakati burudani nyingine italetwa na mtaalam wa nyimbo za Asili Mfalme Costa Siboka, katika picha wengine kulia ni Hamees Suba mkuu wa uhusiano Miss Tourism Tanzania, wa tatu ni Lucas Paul meneja mkuu Chicken Hunt na mwisho ni Pascal Boniventure Meneja wa Savannah Lodge nyuma ni warembo watakaoshirikia katika shindano hilo la pili kwa mkoa wa Dar es salaam mara baada ya lile la Temeke kumalizika.

D r KB MSANII WA MWANZA

Dr KB vile vile katika kufikia kuelewa makubwa katika ramani ya gemu la muziki nimoja ya wachache sana waliojichanganya angaza wanyamwezi , waliotua nchini kuweka sawa chicho la sanaa ya Hio Hop , inshu iliiitwa hivi The British Council Lyrical Lounge Tour Tanzania 2002. Ambapo alioudhuria wote walipata cheti kama alamavulani hivi ambapo KB kwa upande wakekilikuwa kimeandikwa hivi Kimali Benedictor (Dr KB) Successfully Completed a Workshop in MCingConducted by Ty on 21 - 22 January 2002 at The Diamond Jublee Hall Dar es Salaam Tanzania.

Uuuuuu hiiiiiiii , Hapa kweli ilikuwa kazi!!

Ni Fiesta nyomi , watu shazi ilikuwa soooo Mwanza tusubilia katika jiji la Dar mambo yatakuwa ni kula bata kama unavyo ona Uwanja wa C.C.M Kirumba ulifulika wakazi tele wa jiji hilo.

NI MAKAMUZI YALIYO TIKISA FIESTAR MWANZA

Michongo hii iliyofanyika Mwanza , ilifanya pakawa hapatoshi mzee , yani ilikuwa Babu kubwa.

DR KB TUKIDISIKASI KUTOKA NYUMBANI KWAO

kimali Benedictor ama 'Dr KB' ni miongoni mwa wasanii waliowai kurekodikazi za zao katika studio za jijini Dar es Salaam, japokuwa mvuto wa sanaa ya Mwanza miaka ya nyuma katika ukanda wa Jiji hilo, ulikuwa mgumu kwa msanii kurekodikatika studio nzuri ambazo zilikuwa zikipatikana Dar es Salaam tu ,miamba ya nyuma kabla yake ilisha wahi pia kutia timu mwanzoni miaka ya nyuma japokuwa walikuwa wasanii wachache sana tofauti na sasa, WAMEWEZA HATA KUJA NA KUKETI JIJINI DAR . Mtazamo mkubwa wa Dr K B , alitaka kufanya ushindani kuinua wasanii wasiweze kudhulumiwakatika ukanda huo , japokuwa jicho lake hilo lilitiliwa dosali mara kadhaa. Aliwai kuandaa tuzo kupitia Kampuni ya Gloryhood Music Award march 2001. Ukujicho la uandaaji muzima Ikiwa imeandaliwa na Mkurugenzi wake John Kuinegeja ,kupitia mlolongo huo, tuzo kibao katika namna tofauti zilitolewa kwa wasanii wamwanzahua nakumbuka sana Mimi Machibya tuzo hizo kwani nilichukua tuzo iliyogawiwa kwa Msaniinguli wa Kwana mwanza kufa...

William Lukuvi kumlika njia ya wasanii Bongo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , William Lukuvi akizungumza na wasanii ambao aliwaita ofisini kwake jana kuzungumza namna ambavyo wanaweza kuchukua hatua kali dhidi ya wizi wa kazi zao na euenda njia ikawa sawa upande wa wasanii nchini kufikia hatua nyingine kimafanikio.

Mandhari mazuri ya jiji la Mwanza

Hapa ni (The Rock City) , kwa sasa utapata baadhi ya mambo ya wasanii wa jiji hilo kuanzia kesho na msanii aliyewai kutesa na kibaochake 'Mambo Kawaida' Dr K B tutaanza naye akizungumzia namna ilivyo kuwa kwani kwa sasa changamoto nyingi za wasanii wa ukanda huo wapo Dar na Phili bert Kabago atadodosa akiwa kama mtangazaji wa Pashion FM ya jijini huko.