Skip to main content

Wasanii nchini watakiwa kujisajili

KATIBU mkuu wa chama cha muziki wa kizazi kipya (TUMA) nchini,Bwana Samwel Mbwana amehimiza wasanii na vikundi vya sanaa kujisajili wao pamoja  na kazi zao kwa lengo la kulinda,kudumisha sheria na maadili yaliyopo.

Kauli hiyo imesemwa jana jijini Dar es salaam mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO.

Katibu huyo alisema ni jambo nzuri kwa wasanii pamoja na vikundi vyote vya sanaa kujisajili kwenye Baraza la Sanaa la Taifa  (BASATA)  sambamba na kuzisajili kazi zao kwenye kitengo mahususi kinacholinda na kusimamia haki miliki na haki shiriki ikiwa ni nguzo ya kulinda zisipotee au kudhurumiwa.

TUMA ina idadi ya wanachama wapatao 400 kimejipanga kuzunguka mikoani kwa lengo la kuhamasisha na kuelimisha wasanii kujiunga kwenye chama hicho ambapo TUMA wamejipanga kubadilisha fikra na mitazamo isiyo rasmi miongoni mwa wasanii kwa  kuwashirikisha NHIF,BASATA,COSOTA na TRA.

Nae katibu mtendaji wa BASATA Bwana Godfrey Mngereza amepogeza jitihada zilizofanywa na TUMA kwa kuona umuhimu wa kuwa na umoja wenye matumaini chanya ambapo utawaunganisha wasanii katika shughuli zao.

Godfrey alisema BASATA ipo pamoja nao katika kila hatua ili kufikia malengo yaliyo mbeleni kwani sanaa ni kazi kama kazi nyingine inatakiwa tuiheshimu,kuilinda kwa namna yeyote ile pamoja na thamani yake kwa faida ya vizazi vijavyo.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...