Skip to main content

Msimu Mpya Wa Soka Unakujia Kupitia SuperSport






ZOTE 760 za misimu mipya ya Ligi Kuu Ya Soka Uingereza (Premier League) & Ligi Kuu Ya Soka Hispania (La Liga) zitapatikana kupitia DStv,

SuperSport itawaletea watazamaji na wapenzi wa soka michezo kabambe ya soka kuliko ambavyo imewahi kuonekana kabla kutoka kwenye UEFA Super Cup, Ligi Ya Mabingwa ya UEFA, Kombe la FA, Kombe la Capital
One, Super Cup ya Hispania, Fainali ya Copa Del Rey, German Cup na mingine mingi , Msimu unaanza Jumamosi tarehe 13 Agosti na kumalizika Mei 21, 2017.

Lakini Sio Hayo tu, Fungua “Press Release” tumeambatanisha kwa Lugha ya Kiswahili na Kingereza kufahamu mengi zaidi mazuri, tafadhali tusaidie kupata “Coverage”.

Shukrani sana.



Imetolewa na

Shumbana Walwa|Social Media Administrator

Comments