Skip to main content

Pichani viongozi wa YUNA


Kwanza napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa niaba ya asasi ya Vijana wa Umoja wa Mataifa Tanzania (Youth of United Nation Association of Tanzania-YUNA) kwenu wanahabari kwa kuitikia vizuri wito wetu kwenu katika mkutano huu nanyi.

Asasi inayo furaha kutambulisha kwenu na umma mzima wa Tanzania uwepo wa mkutano wa kihistoria ambao kwa mara ya kwanza kufanyika na utafanyika nchini mwetu tukiwa ndiyo nchi waandaaji wal "Mkutano wa kwanza wa Vijana waJlkanda wa ~aziwa Makuu".
Mkutano huu wa kihistoria utafanyika mnamo tarehe 16 hadi 18 J uni, 2009 katika ukumbi wa ILO, Ukiwa na Kauli mbiu "Vijana wa Amani kwa Ukanda wa Amani"(Peaceful Youth for a Peaceful_Region) Ukifunguliwa na Mgeni rasmi Mratibu wa Kitaifa wa ICGLR Mhe. Balozi Begum Taj.
Mkutano huu ukiwa na lengo kuu la kutoa wigo kwa Vijana wa kitanztilnia wafahamu na washiriki katika utekelezaji wa mpango mkakati na makubaliano ya nchi za maziwa makuu katika amani na kutengemaa ukitoa fursa ya kupata mrejesho wa mahali mchakato ulipofikia.
Sambamba na lengo kuu hilo mkutano vivyo hivyo unalenga kutambua vipaombele vya Vijana katika fursa za nchi za maziwa makuu, kupendekeza shughuli zinazoweza fanywa na Vijana na kung'amua mashirika 'wahisani wa shughuli hizo na hatimaye kutambua mchango wa Vijana wa Kitanzania katika Jukwaa la Ukanda wa Maziwa Makuu.

mkutano huu utawashirikisha Vijana takribani hamsini na sita(56) toka katika mikoa ya Tanzania, asasi za kiraia, taasisi za elimu, wanaharakati na vyama vya siasa(kurugenzi za Vijana) kujadili mstakabali wa nchi za maziwa makuu. Nakuhudhiriwa na nchi nyingine kama washiriki waangalizi. I
Jukwaa hili Iitatumia njia kama za uwasilishwaji mada, mijadala ya wazi, hotuba za wageni waalikwa ambao wengi wao wanashiriki katika mchakato wa amani wan chi za maziwa makuu. Ukitumia lugha za Kiswahili na pundi inapolazimu sana kutumia Kiingereza.
Ikumbukwe i Tanzania mekuwa ikishiriki ipasavyo katika mchakato wa maziwa makuu hii ikichochewa hata na furs a iliyopata ya kuendesha na kusimamia mchakato mpaka utakapotiliwa saini kwa "P ACT". Vilevile tusisahau bahati iliyopata nchi yetu kwa kutoa balozi anayeshughulikia na kuongoza sekretariati masuala ya maziwa makuu Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Kwa namna hii makundi mengine ya kijamii mathalani Vijana, wakina mama nao wapo mstari wa mbele kama wanavyochochewa na wakuu wanchi za maziwa makuu na serikali zao kwa kutilia saini kwa "PACT" mnamo Desemba, 2006.
Vivyo hivyo, kuanzishwa kwa majukwaa ya kuratibu ya Vijana kitaifa imekuwa moja ya makubaliano yaliyotiliwa saini na wakuu wanchi na serikali zao katika Mkataba wa Amani na Usalama wa Ukanda "Region's Pact on Peace and Security" mnamo Desemba 2,2006.
Mkutano utakuwa na wigo mpana wa kujadili pia zaidi ya masuala ya amani na usalama kwa ktijadili pia masuala ya maendeIeo ya kiuchumi, masuala ya kibinadamu na kijamii, demokrasia na utawala bora kwa mapana yake .
. Kwa namna ya pekee, asasi ya Vijana wa Umoja wa Kimataifa Tanzania- YUNA wanawaomba wanahabari na wadau kwa ujumla kupasha umma habari hii hadhimu kwa ushiriki wa Vijana na maendeleo kwa ujumla. Kwani inatambua mchango mkubwa sana wa mchango wa wanahabari katika kuchoepea maendeleo ya amani na usalama katika ukanda wan chi za maziwa makuu na
Tanzania kwa upekee. ~
Asasi ya Vijana wa Umoja wa Kimataifa Tanzania-YUNA imekuwa mstari wa mbele tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka 1996 katika kuchochea ushiriki, ufahamu, na ukuzwaji wa uwezo hususan kwa Vijana katika masuala yanayohusu Umoja wa Mataifa nchini kwa kuendesha miradi, makongamano, warsha, midahal0 katika ngazi ya kitaifa na hata kimataifa.
Shukrani sana kwa kunisikiliza, na nawatakia kila la kheri katika utume wenu wa upashaji habari• umma.

Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.

Lawrence Chuma

Mratibu Mkuu wa Mkutano-ICGLR

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...